MOI yaadhimisha siku ya mtoto mwenye kichwa kikubwa na mgongo wazi kwa kuendesha kliniki ya uchunguzi bure
Na Abdallah Nassoro-MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) leo Oktoba 25, 2025 imeadhimisha siku ya mtoto mwenye kichwa kikubwa na mgongo