Timu ya wataalam kutoka MOI yaendelea kutoa huduma za kibingwa mifupa na ubongo katika viwanja vya Bunge, Dodoma

Timu ya wataalam kutoka Taasisi ya tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakiendelea kutoa huduma za kibingwa za Mifupa, Ubongo, Mgongo na mishipa ya fahamu katika viwanja vya Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dodoma.

Huduma hizo zinatolewa tangu tarehe 29 Januari mpaka tarehe 02 februari 2024

About the Author

You may also like these