Uzinduzi wa miradi mbalimbali ya utoaji wa huduma MOI utafanyika siku ya Jumanne tarehe 28/11/2023 kuanzia saa 2:30 Asubuhi hadi saa 6:00 Mchana. Mgeni rasmi Waziri wa Afya Mh. @ummymwalimu
Waziri wa afya atoa wito kwa waliopoteza miguu, mikono kuchangamkia fursa ya viungo bandia 600 vinavyotolewa bure