Saba Saba Special

Taasisi ya Tiba ya Mifupa – MOI inashiriki maonesha ya 47 ya kimataifa ya biashara (Saba Saba)

Banda letu lipo Jakaya Kikwete chumba no 31 na 32. Karibu kwenye banda letu upate huduma zifuatazo;

  1. Ushauri wa Madaktari bingwa wa Ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu
  2. Ushauri wa magonjwa ya ndani
  3. Kupima uzito, urefu, na BMI bure
  4. Ushauri wa mazoezi tiba bure
  5. Ushauri wa viungo bandia bure
  6. Ushauri wa tiba lishe bure

About the Author

You may also like these