Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Waziri Kindamba atembelea banda la MOI.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Waziri Kindamba leo tarehe 7/10/2023 ametembelea banda la MOI na kupongeza huduma bora za kibingwa zinazotolewa MOI. Taasisi ya MOI inashiriki katika maonesho ya kimataifa ya Swahili Expo kwa lengo la kuhamasisha raia kutoka mataifa ya Afrika kuja MOI kupata huduma za kibingwa za Mifupa, Ubongo, Mgongo na mishipa ya Fahamu.

About the Author

You may also like these