Karibu ujisomee jarida la MOI mpya kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili- MOI linalokuhabarisha zaidi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa MOI.
MOI, bmvss na ubalozi wa india warejesha tabasamu kwa wananchi 310 kwa kuwapatia miguu na mikono bandia bure