Watumishi MOI wapewa mkono wa krismasi na mwaka mpya 2026
Na Amani Nsello- MOI Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetoa zawadi za sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2026
Dar es Salaam, 12/03/2019. Madaktari bingwa wa Upasuaji wa Ubongo ,Mgongo na Mishipa ya Fahamu