Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Taasisi ya Mifupa Muhimbili(MOI)
Offering Services in Orthopaedics, Neurosurgery, and Traumatology
Date : 23 Sep 2015
Author :
On behalf of Management of MOI and Board of Trustee –MOI I would like to congratulate our Trauma Research Team under the Leadership of Dr E.E Ndalama and B.T Haonga for their Famous Femur study which won the American Orthopaedic and Trauma Association (AOTA) Award for the Best paper of the Year 2015
Date : 25 Nov 2015
Mh RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA MUHIMBILI (MOI)
Author :
Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI na kujionea hali halisi ya mazingira ya Utoaji wa huduma na kuahidi kutatua changamoto mbalimbali alizojionea.
Date : 25 Nov 2015
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI, MUHIMBILI
Author :
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ametembelea Muhimbili na kukagua utekelezaji wa Maagizo ya Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ya Uboreshaji wa utoaji huduma za Afya.
Date : 15 Dec 2015
Author :
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya fahamu (MOI) kwa kushirikiana na Shirika la Friends of Children with Cancer Tanzania (FOCC) imeandaa kambi maalum ya matibabu na upasuaji wa watoto wenye matatizo ya vichwa kujaa maji na mgongo wazi (Hydrocephalus and Spinal Bifida)
Date : 16 Dec 2015
MAADHIMISHO YA SIKU YA WATOTO WENYE MATATIZO YA VICHWA KUJAA MAJI NA MGONGO WAZI YAFANYIKA
Author :
Maadhimisho ya Siku ya watoto wenye matatizo ya Vichwa kujaa maji na Mgongo wazi duniani yamefanyika ambapo wazazi 100 na wadau mbalimbali walishiriki . Huku takwimu zikionyesha kwamba zaidi ya Watoto 4800 wanazaliwa na matatizo hayo kwa mwaka hapa Tanzania ambapo kila mwaka watoto 400 pekee ndio wanapokelewa katika Taasisi ya MOI kama wagonjwa wapya
Jumatatu - Ijumaa
: 06:00 Asu - 07:00 Asu
: 06:00 AM - 07:00 AM
Jmosi / Jpili & Sikukuu
: 06:00 AM - 07:00 AM
: 07:00 PM - 08:00 PM
: 06:00 AM - 07:00 AM
Hati Miliki © 2014 Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI). Haki Zote Zimehifadhiwa